MIFUKO YA NSSF NA PPF IMEWEKEZA KATIKA MIRADI YA SUKARI Unknown 00:19 0 Mifuko 2 ya hifadhi ya jamii ya NSSF na PPF imewekeza katika kilimo na uzalishaji wa sukari nchini katika hatua ya kupunguza uhaba wa suk...
MTAZAMO WA SEKTA YA KILIMO KWA VIJANA AFRIKA Unknown 10:40 0 Vizazi vinabadilika na kupita lakini mahitaji ya bidhaa za mazao ya kilimo yanaongezeka kila siku. Toka zamani na mpaka sasa kwa kiasi...
MRADI WA FEED AFRICA STRATEGY WATENGEWA US$24B Unknown 23:02 0 Viongozi mbalimbali barani afrika na wadau katika sekta ya kilimo wameupongeza mradi wa Feed Africa Strategy ambao uko chini ya Benki ya m...
Wadau wa korosho nchini wakutana mkoani Tanga Unknown 10:41 0 Kikao cha kamati zinazohusisha vyama vikuu vya ushirika, washauri wa kilimo kutoka mikoani na wawakilishi 5 kutoka mikoa inayolima zaidi zao...
14 kati ya 17 SDG's zinaigusa sekta ya kilimo. Unknown 00:45 0 14/17 SUSTAINABLE DEVELOPMENT GOALS · Goal 1: No Poverty – End poverty in all its forms everywhere(More than 65% of world po...
Mradi mpya wa PIATA kuwekeza US$280M kwenye Kilimo Afrika Mashariki Unknown 08:32 0 Nchi za afrika mashariki zikiwemo Tanzania, Kenya, Ethiopia na Rwanda zitafaidika na program ya uwekezaji wa kifedha kwenye kilimo, yenye ...
Wakulima wa Korosho waishukuru serikali tupunguza tozo Unknown 09:48 0 Wakulima wa zao la korosho nchini wameipongeza serikali kwa kupunguza tozo mbalimbali za kodi hasa kwenye usafirishaji, hatua ambayo itampa ...
LAPF yasaini mkataba wa Bilioni 10 kujenga kiwanda Mvomero Unknown 10:41 0 Mfuko wa mafao wa LAPF umesaini mkataba wa ubia na kampuni ya Eclipse Investment Limited ya Oman kwa ajili ya ujenzi wa kiwanda cha kusindik...
MKUTANO WA AGRF WASITISHWA LEO. Unknown 11:33 0 Mkutano wa Africa Green Revolution Forum(AGRF) umemalizika leo mjini Abidjan, nchini Ivory Coast leo. Moja ya mambo yaliyofanyika katika si...
FAO kusaidia Tanzania katika Kilimo na Viwanda Unknown 23:01 0 Mkurugenzi wa shirika la Chakula na Kilimo duniani(FAO) ; ndugu Jose G. Da Silva katika ziara yake nchini Tanzania amesema kuwa FAO itasaid...
Muendelezo wa Mkutano wa #AGRF Unknown 10:48 0 Mkutano mkuu wa mapinduzi ya kijani barani afrika yaani Africa Green Revolution Forum(AGRF) umeendelea jana na leo mjini Abidjan, nchini Iv...
PICHA ZA MKUTANO WA AGRF UNAOENDELEA NCHINI IVORY COAST Unknown 00:31 0 Mkutano mkubwa wa mapunduzi ya kijani barani afrika ( Africa Green Revolution Forum ) unaozikutanisha nchi mbalimbali, umeanza nchini Ivory ...
MKURUGENZI WA FAO KUFANYA ZIARA NCHINI TANZANIA Unknown 23:57 0 Mkurugenzi wa Shirika la Chakula na Kilimo Duniani(FAO) Jose Graziano Da Silva anatarajia kuanza ziara yake nchini Tanzania leo Jumanne amb...
WAKULIMA 30,000 UPATA MICHE YA CHIKICHI Unknown 11:07 0 Takribani wakulima 30,000 mkoani Kigoma watafaidika na hatua ya Taasisi kuinua na kusaidia sekta binafsi (PASS) kuanzisha hatua ya kuongeza...
Serikali kuagiza Tani 55,000 za Mbolea Unknown 09:56 0 Serikali chini ya Wizara ya kilimo inatazamia kuagiza mbolea ya kukuzia na kupandia takribani tani 55,000 kupitia mfumo mpya wa kuagiza mbol...
Nafasi za kazi_SUA Unknown 10:09 0 Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo(SUA) mkoani Morogoro kimetangaza kazi katika tasnia na nafasi mbalimbali. Soma hapa: http://www.sua...
Hati 2,111 vya umiliki wa ardhi kutolewa Kilombero Unknown 20:44 0 Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi chini ya programu ya matumizi bora ya ardhi, wiki ijayo inatarajia kutoa hati zaidi ya 2,000 ...
TBL yanufaisha wakulima 30,000 nchini Unknown 22:27 0 Kampuni ya bia Tanzania(TBL Group) imesema mpango wake wa kuendeleza kilimo umefanikiwa kuwafikia wakulima zaidi ya 30,000 nchini katika mik...
BILL GATES ATOA US$350M KUSAIDIA SEKTA MBALIMBALI IKIWEMO KILIMO Unknown 11:29 0 Mfanyabiashara tajiri kutoka marekani Bill Gates ambae pia ni mwenyekiti wa Bill & Melinda Gates, amefanya mazungumzo rasmi na Rais wa ...
Picha za kilele cha maonyesho ya 88 kutoka Lindi Unknown 21:02 0 Kilele cha maonyesho ya kilimo nchini 88, kitaifa ilikua jana mkoani Lindi ambapo mgeni rasmi alikua Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan....