TBL yanufaisha wakulima 30,000 nchini
Kampuni ya bia Tanzania(TBL Group) imesema mpango wake wa kuendeleza kilimo umefanikiwa kuwafikia wakulima zaidi ya 30,000 nchini katika mikoa ya Dodoma na Kaskazini. Meneja wa mawasiliano TBL Group Zena Tenga amesema sekta ya kilimo imekua tegemeo kwa maendeleo ya sekta mbalimbali zikiwemo viwanda hasa vinavyotengeneza vinywaji vinavyotumia malighafi za mazao na usafirishaji.
Akifafanua katika mazungumzo na waandishi wa habari; Bi Tenga amesema TBL Group imewasaidia wakulima wa shairi kaskazini mwa tanzania na Zabibu mkoani Dodoma.
Akifafanua katika mazungumzo na waandishi wa habari; Bi Tenga amesema TBL Group imewasaidia wakulima wa shairi kaskazini mwa tanzania na Zabibu mkoani Dodoma.

No comments