Nafasi ya teknologia kwenye ajira za vijana

Kutokana na kukua kwa teknologia hasa katika sekta mbalimbali kutasaidia vijana kuweza kupata ajira na kutengeneza ajira zaidi kwa vizazi vinavyokuja. Kukua kwa teknologia kumechangia pia hata ongezeko la fursa za ujasiliamali kwa vijana mbalimbali, wakiwemo wajasiliamali katika sekta ya kilimo na biashara.

Takriban zaidi ya Dola za kimarekani US$2 Bilioni zinatazamiwa kutumika kwa ajili ya kukopesha wakulima katika ngazi ya uzalishaji na kilimo biashara


No comments

Theme images by Xaviarnau. Powered by Blogger.