WAKULIMA 30,000 UPATA MICHE YA CHIKICHI Unknown 11:07 0 Takribani wakulima 30,000 mkoani Kigoma watafaidika na hatua ya Taasisi kuinua na kusaidia sekta binafsi (PASS) kuanzisha hatua ya kuongeza...
Serikali kuagiza Tani 55,000 za Mbolea Unknown 09:56 0 Serikali chini ya Wizara ya kilimo inatazamia kuagiza mbolea ya kukuzia na kupandia takribani tani 55,000 kupitia mfumo mpya wa kuagiza mbol...
Nafasi za kazi_SUA Unknown 10:09 0 Chuo kikuu cha Sokoine cha kilimo(SUA) mkoani Morogoro kimetangaza kazi katika tasnia na nafasi mbalimbali. Soma hapa: http://www.sua...
Hati 2,111 vya umiliki wa ardhi kutolewa Kilombero Unknown 20:44 0 Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi chini ya programu ya matumizi bora ya ardhi, wiki ijayo inatarajia kutoa hati zaidi ya 2,000 ...
TBL yanufaisha wakulima 30,000 nchini Unknown 22:27 0 Kampuni ya bia Tanzania(TBL Group) imesema mpango wake wa kuendeleza kilimo umefanikiwa kuwafikia wakulima zaidi ya 30,000 nchini katika mik...
BILL GATES ATOA US$350M KUSAIDIA SEKTA MBALIMBALI IKIWEMO KILIMO Unknown 11:29 0 Mfanyabiashara tajiri kutoka marekani Bill Gates ambae pia ni mwenyekiti wa Bill & Melinda Gates, amefanya mazungumzo rasmi na Rais wa ...
Picha za kilele cha maonyesho ya 88 kutoka Lindi Unknown 21:02 0 Kilele cha maonyesho ya kilimo nchini 88, kitaifa ilikua jana mkoani Lindi ambapo mgeni rasmi alikua Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu Hassan....
Kilele cha maonyesho ya Kilimo 88. Unknown 00:34 0 Kilele cha maonyesho ya wakulima 88 ni leo tarehe 08/08/2017. Kauli mbiu ya maonyesho ni " Zalisha kwa tija mazao na bi...
Picha za muonekano wa mabanda tofauti katika maonyesho ya 88 mikoani Unknown 03:53 0 Zifuatazo ni picha za muonekano wa mabanda ya maonyesho kutoka viwanja mbalimbali mikoani. Maadhimisho ya kitaifa yanafanyika mkoani Li...
MBEGU MPYA YA ZAO LA ALIZETI YAZALISHWA Unknown 23:55 0 Mkuu wa mkoa wa Manyara Mh. Joel bendera amewaagiza wakulima mkoani humo kutumia mbegu mpya za alizeti zilizozalishwa hivi karibuni z...
WAFUGAJI SIMANJIRO WAANZISHA MASHAMBA YA NYASI Unknown 23:33 1 Wafugaji kutoka wilaya ya simanjiro wameanzisha mashamba ya nyasi kwa ajili ya ulishaji wa mifugo na kuiomba serikali kuwapatia maeneo ya a...
KFNewsUpdates leo Tarehe 04/07/2017 Unknown 21:30 0 Habari kwa picha kupitia Ukurasa wa facebook wa Kilimo Forum(KF) Kupata habari zaidi ingia ukurasa wa facebook: https://www.facebook.com/k...
Wakulima tumieni mbegu zinazostahimili Ukame Unknown 11:18 0 Katika maonyesho ya kilimo (88) ambayo yako kwenye siku ya tatu leo(Trh 3/8/2017) katika viwanja mbalimbali mkoani Arusha, Morogoro, Dodoma,...
Habari za sekta ya kilimo kutoka nchi mbalimbali barani Afrika Unknown 19:34 0 Kupata Updates za habari za kilimo barani Afrika mashariki na barani afrika kwa ujumla kupitia ukurasa wetu wa Facebook. Follow: htt...