Wakulima wa Korosho waishukuru serikali tupunguza tozo
Wakulima wa zao la korosho nchini wameipongeza serikali kwa kupunguza tozo mbalimbali za kodi hasa kwenye usafirishaji, hatua ambayo itampa unafuu mkulima wa korosho kufaidika na kilimo cha zao hilo. Hayo yamezungumza na wakulima mjini dodoma katika kikao kilichowakutanisha kuelekea kufunguliwa kwa soko la mauzo ya korosho hivi karibuni.
Katika kikao hicho wakulima wamependekeza bei elekezi za serikali na bei za sokoni ziendelee kusimamiwa vizuri katika kuhakikisha katika mauzo ya korosho yanasaidia wakulima hao.
Katika kikao hicho wakulima wamependekeza bei elekezi za serikali na bei za sokoni ziendelee kusimamiwa vizuri katika kuhakikisha katika mauzo ya korosho yanasaidia wakulima hao.

No comments