PICHA ZA MKUTANO WA AGRF UNAOENDELEA NCHINI IVORY COAST
Mkutano mkubwa wa mapunduzi ya kijani barani afrika (Africa Green Revolution Forum) unaozikutanisha nchi mbalimbali, umeanza nchini Ivory Coast jana, kwa kukutanisha nchi mbalimbali katika kulenga kuleta mabadiliko ya sekta ya kilimo.
Katika ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika mjini Abidjan; mada mbalimbali zilijadiliwa ikiwemo ushiriki wa vijana kwenye kilimo biashara, ushirikiano wa wadau katika utafiti wa kilimo na maendeleo na utokomezaji wa wadudu waharibifu(mf. Viwa vijeshi) katika uzalishaji. Mkutano huo unaendelea mjini Abidjan, Ivory Coast hadi kufikia Tarehe 8 mwezi september. Rais mstaafu kutoka Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete ni moja ya washiriki wa mkutano huo ambapo atawasilisha hotuba ya kuboresha lishe na makuzi kwa jamii na maendeleo barani afrika.
Zifuatazo ni picha za matukio ya mkutano wa #AGRF

No comments